contributor

Kama hukuweza kutazama KTMA 2014 Orodha ya washindi ni hii:


1.WIMBO BORA WENYE VIONJO
VYA KITANZANIA: DAR BONGO
MASIVE – BORAMCHAWI
2.MSANII BORA CHIPUKIZI –
YOUNG KILER MSODOKI
3.WIMBO BORA WA ZOUK – LADY
JAY DEE
4.WIMBO BORA WA AFRO POP –
DIAMOND PLUTNUM
5.WIMBO BORA WA RAGA: NISHAI
– CHIBWA
6.WIMBO BORA WA REGAE: NIWE
NA WEWE – DABO
7.WIMBO BORA WA TAARABU –
MZEE YUSUPH WASIWASI
8.KIKUNDI BORA CHA TAARABU –
JAHAZI MODERN TAARAB
9.MWIMBAJI BORA WAKIKE
TAARAB – ISHA RAMADHAN
10.MWIMBAJI BORA WAKIUME
TAARAB – MZEE YUSUPH
11.WIMBO BORA KISWAHILI –
MASHUJAA BAND
12.MWIMBAJI BORA WA KIKE
BAND – LUIZA MBUTU
13.MWIMBAJI BORA WA KIUME
BAND – MAPACHA WATATU
14.RAPPER BORA WA MWAKA –
FUGERSON
15.BAND YA MWAKA – MASHUJAA
BAND
16.MWIMBAJI BORA WA KIKE
KIZAZI KIPYA – LADY JAYDEE
17.MWIMBAJI BORA WA KIUME
KIZAZI KIPYA – DIAMOND
PLUTNUMZ
18.KIKUNDI CHA MWAKA CHA
KIZAZI KIPYA – WEUSI
19.NYIMBO BORA R&B –
VANESSA MDEE
20.WIMBO BORA WA HIP HOP –
NIKKI WA PILI ft JOH MAKINI
21.MSANIIBORA WA HIP HOP –
FID Q
22.WIMBO BORA WA
KUSHIRIKIANA – MUZIKI GANI
NEY WAMITEGO ft DIAMOND
23.WIMBO BORA WA AFRICA
MASHARIKI – TUBONGE JOZE
CHAMELEON
24.MTUNZI BORA WA MWAKA
TAARAB – MZEE YUSUPH
25.MTUNZI BORA WA MWAKA
BAND – CHRISTIAN BELLA
26.MTUNZI BORA WA MWAKA
KIZAZI KIPYA – DIAMOND
PLUTNUMZ
27.MTUNZI BORA WA MWAKA HIP
HOP – FID Q
28.MTAARISHAJI BORA WA
MWAKA TAARAB – ENRICO
29.MAYARISHAJIBORA WANYIMBO
WA MWAKA BAND – AMOUROSOR
30.MYARISHAJI BORA WA MWAKA
KIZAZI KIPYA – MAN WATER
31.TUZO YA HESIMA
- HASSAN BICHUKA
- MASOUD MASOUD
32.VIDEO BORA YA MWAKA –
NUMBER ONE DIAMOND
33.WIMBOBORA WA MWAKA –
NUMBER ONE DIAMOND
34.MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE –
ISHA RAMADHAN
35.MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME
– DIAMOND


0 comments:

Find us on facebook